@godbless_lema Na bado mnataka kuaminisha Watu mmekomaa kupewa Dola, mnajinadi kama chama cha demokrasia wakati uchaguzi zenu tu zimekuwa na hila nyingi, chuki, propaganda chafu, ubaguzi, rushwa n.k yaani kama sinema
@godbless_lema Hakun kitu Km hich usitafut gia ya kuingilia mwambie aliyekup hzo habar akutumie na picha Ars ya ss ni tulivu san hakn vurugu ww ulikuwa mb ni kip ulichofanya kwa miaka 10 uliyokuw mb? Wa2 wa Ars wanaakili na zama zimebadilika wa2 wak busy na kazi km vp njoo na hayo madawati huko
@ShabaniNgolilo @RashgwantaM@aubaaajr2020@UhamiajiTz Ingawaje wapo baadhi wanaingia kwa michongo kweli lakini si wote % kubwa wamecompete kwenye sahili lakini Kama na wewe unahitaji kweli nafasi hizo zikitoka km zipo shurtcut ambazo unazijua zitumie zikusaidie na wewe
@ShabaniNgolilo @RashgwantaM@aubaaajr2020@UhamiajiTz Kama ulijaribu mara moja au Mara mbili ukakosa usikate tamaa jaribu Tena na Tena wenye sifa ama vigezo wanaweza kuwa wengi lakini nafasi ni chache si kila mtu anaweza kupata hiyo nafasi na katika wachache hao Kuna vitu wanazidiana tu ndivyo vinavyowabeba hao wachache.
@ShabaniNgolilo @RashgwantaM@aubaaajr2020@UhamiajiTz Ina maana unataka kuniambia wote wanakwenda JKT wanakwenda kwa michongo?? Hakuna wanapita kwa fair competition?? wale wanakimbia mbio wanachujwa vipi wale wanakwenda kwa vipaji vyao?? Inawezekana hujawahi hata kufanya hizo sahili unaongea hata na story za kusikia vijiweni.
@RashgwantaM@DanielmathiasTz @ShabaniNgolilo @aubaaajr2020@UhamiajiTz Labda kwa kukusaidia chukua Tena na hii nimespend 3 years kwa hiyo nikuambie tu huna unachoweza kunielekeza kuhusu hizo taasisi yaan kwa hiyo naifahamu vizuri NS kuliko unavyofikiri wewe kaka mkubwa..
@ShabaniNgolilo @RashgwantaM@aubaaajr2020@UhamiajiTz Afu kitu kingine ambacho inawezekana hufahamu JKT si kilimo Kuna stadi mbalimbali za maisha chukua na hiyo uwe nayo si kila kitu unaweza kuzungumza hapa ukitaka kuijua JKT ingie ndani ndio utaelewa si kuona picha na kusimuliwa kaka mkubwa JKT ni zaidi ya unavyoijua ww ndugu yangu
@ShabaniNgolilo @RashgwantaM@aubaaajr2020@UhamiajiTz Yoteyote naongea from experience nimeishi maisha Jakata mzee for years Vijana wanaojitolea JKT wapewe priority kwenye fursa zote zinazohusu vyombo vya ulinzi vijana wenzetu wanaspend years mule ndani kwa kujitolea wanafanya majukumu mbalimbali ya kizalendo na si kilimo pekee kak
@RashgwantaM @ShabaniNgolilo @aubaaajr2020@UhamiajiTz Aisehe ukiambia tunataka Accountant mwenye CPA na ikiwa wewe umesoma uhasibu na CPA huna teyari una kigezo umekikosa kaka mkubwa na ukiwa umesoma engineering Kuna post inahitaji Daktari wewe unakuwa huna sifa heshimu Hilo Kama hutaki omba afu kwenye cheti cha JKT weka cha ubatizo
@ShabaniNgolilo @RashgwantaM@aubaaajr2020@UhamiajiTz Kigezo cha JKT ni cha msingi Sana hata hao huko walileta tangazo Hilo vigezo vyote kabla ya kupublish walipitia wakachata wakona hicho ni kigezo cha msingi Kama wewe hutaki ni sawa lakini ndivyo ukweli ulivyo hicho ni kigezo cha msingi teheshimu Hilo Yale mafunzo ni taalamu flani
@ShabaniNgolilo @RashgwantaM@aubaaajr2020@UhamiajiTz hata mujibu wa sheria hawajapita hapana sio sawa Kama huifahamu JKT isikie hivyohivyo unavyoisikia sio poa..
@ShabaniNgolilo @RashgwantaM@aubaaajr2020@UhamiajiTz kwenye vyombo vya ulinzi endapo fursa hizo zikitokea so ni vyema Hilo likaheshimiwa haiwezekani mtu anakwenda pahala kundaliwa anaspend more than 2, 3 paka 4 years anaonyesha uvumilivu kwa kujitolea ili ikitokea fursa vyombo apewe kipaumbele afu wakocompete kwa civilian ambao
@ShabaniNgolilo @RashgwantaM@aubaaajr2020@UhamiajiTz Tena na Tena Kama sifa za kuingia huko bado unazo lakini kwa katika kupata Askari yeyote kigezo cha JKT ni cha msingi Sana Sana nazungumza kutokana na experience ukiachana na package nyingine Vijana wanazopewa kwenye mafunzo ya JKT kitu kikubwa ni kwamba wanaandaliwa kuwa Askari
@aubaaajr2020@UhamiajiTz Nafasi za JKT zinatoka kila mwaka Kama una ndoto za kuingia kwenye hii tasnia ya vyombo hivi basi ni vyema ukatafuta hiyo nafasi ya Kuingia JKT ili uwe na sifa ya kupata fursa Kama hizo kwa hiyo tuheshimu tu hivyo vigezo kila kigezo kina uzito wake