Au mama nae ana Problem ya upumuaji ndio maana hapendi Kuvaa Mask 😷 eti!??. wageni wake woote wamevaa Mask 😷 ila yeye kama kiongozi wa Nchi kashindwa kabisa kuvaa 😷 kama Mfano kwa WanaNchi wake. au mama nayeye ana Breathing problem!??? Just imagine Age yake imeenda bt hajali!!
#whereIsMagufuli Three things about @MagufuliJP:
1. He was originally a compromise candidate without strong backing from any CCM faction;
2. He has practized weaponization of law for political objective;
3. He has turned to violence and intimidation to maintain control
TAIFA LA TANZANIA LIMEFIKA HAPA
👉Baraza la mawaziri limuagize Jaji mkuu @judiciarytz kuteuwa jopo la wataalamu kufanya assessment ya afya ya MEKO
👉 Ushahidi wa hali ya afya yake na vile tunajua kwa uhakika sasa hana uwezo wa kutekeleza majukumu yake basi section 37(3) ifuatwe
@MariaSTsehai@MagufuliJP Tuna mfumo wa hovyo sana wa uongozi wa nchi.. Kwa hali ilivyo ilipaswa zamani sana jeshi liwe limetake over huku wanasiasa wakijitafakari na kujipanga wanataka kufanya nini kurudi kwenye normacy.. But this is total mess
Jinsi Viongozi wa Awamu ya Tano Walivyokalilishwa.
*Watu wakihoji afya ya rais wao Wanasema ni Vita ya Kiuchumi
*Watu Wakikosoa kuhusu uvunjwaji wa Sheria na Kutokufata Haki za Kibinadamu Wanasema ni Vita ya Kiuchumu! Mitano tena kitu Walichofanikiwa kwa 100% nikuwajaza watu HOFU
@MariaSTsehai Vitisho ndiyo silaha yao maana wao wenyewe
👉hawajui yuko wapi
👉hawawezi kumtoa kama Dr Mpango
👉na hawajajiandaa kufanya maisha bila uwepo wake
🤣🤣🤣 acha wapambane na hali zao lakini ni 👋🏻 tena
Werevu ndani ya CCM washasoma alama za nyakati wamekaa kimya
MATAGA sasa 😄wanaendelea kuvuna chuki na kujiandalia mazingira magumu wakishuka ngazi! Wajiulize watakuwa mgeni wa nani?
Msije tena kulialia kama @TunduALissu alivyotudokezea eti mlilazimishwa - mmeyataka wenyewe! 👋🏽
Huyu mwamba ni nani???
Naomba
1. Aongezewe ulinzi
2. Mwambieni achukue whisky 🥃 ile kubwa kabisa kwa Mamngi nitakuja kulipa nikija.
3. Ajengewe mnara pale Posta
"MATAGA" Siku viongozi Mbalimbali wakianza kutoa pole kwa taifa nadhani ndio mtaamini yanayosemwa na Wana Twitter 😀. Mkiambiwa Mr Mafaile kakata Moto hamuelewi 😂😂😂🙌..
MATAGA tuelewane kwanza
👉 Yaani jizungusheni sijui Samia kafanyaje sijui anaenda Pangani lakini ni hivi ITAFAHAMIKA TU
👉 Yaani Meko AFE au awe in vegetative state haifanyi serikali ikasimama
👉ZUNGUKENI sana lakini nina UHAKIKA MTARUDI KATI YA UWANJA TU
😂😂🖐 tena kwa MEKO
Mama yake Erick Kabendera alikuombea mwanae msamaha: “Namuombea msamaha mtoto wangu maana yeye ndio ananinulilia dawa”.
Erick hakusamehewa na mama yake alikufa akiwa ndani. Erick hakumzika mama yake.