@Ajabubaker@nabricsllalana@ChaliiMason Kama Uyahudi ulikuwa Uislamu, ni lini Wayahudi walianza kujiita Waislamu, na ni ushahidi gani wa kihistoria unaothibitisha hilo?
@hamis_abas Tembea kilomita 5 Kila asubuhi
Kula mara 1 Kwa siku au ukishindwa kula mara 2 ila mlo wa pili mwisho saa 1 jioni.
Punguza wanga
Tafuta siku Moja ya kufunga Kila wiki
Acha sukari
Usipopungua Rudi hapa unitukane
@KennedyMmari@Octavianlasway@Afruturist I agree with you
Point kubwa umeusahau
Start-up ni kichaka cha Kutakatisha pesa. Sio Kila kifo cha startup ni organic death. Pia founders wengine wanachepusha Hela Kwa matumizi binafsi.