@jack51920@godbless_lema Nani amekwambia upumbavu ni tusi ivi watz akili mtakuwa nazo lini yani akili zimegandamana kama sijui nn aise mfunguki kabisa kufikilia aisee
@mtuchupa@mdudenyagali Kaka kaa kimya kama umeridhika na ayo maisha kaa kimya kabisa hakuna mtu ambae anajielewa hakawa kinyume na watu wanaotaka ccm watoke madarakani ni mjinga na fala na ni ww apo huna akili rudi shule
Nini kinaenda kutokea ARSENAL wanauwezo mkubwa sana wa kumili mpira na REAL MADRID wako vizuri sana nyakati za ivi karibuni kwenye counter attack
Je nani ni nani leo kwenye ROBO FAINAL YA KWANZA
@433@azamtvtz@George_Ambangil@shaffihdauda1