@godbless_lema Kumbuka mlivyomtukana Boni Yai wakati wa kampeni zenu za ndani. Huyu jamaa ni mvumilivu sana na ndiye anayefaa kuwa kiongozi. Uongozi unahitaji busara na uvumilivu sio kama nyie wenye jazba bila uvumilivu.
@godbless_lema Wewe Lema unafanya siasa za chuki sana. Yeye naye anatetea mkate wake tu wewe unapaswa kwenda kumwaga sera zako na sio kushugulika na mtu mmoja tena kwa matusi. Hiyo ni chuki. Usiwe na siasa za visasi hautafaulu.
@godbless_lema Kumbe wewe ndio inaharibu Chama hiki. Watu mliosafiri nao miaka, mmeumizwa pamoja leo unawaita walanguzi kwa kuwa tu hawakubaliani na misimamo yenu. That's not fair bro. Wewe kauli zako za ndizo huwa zunakushusha points. Ulimi wako huwa unateleza sana.
@mdudenyagali Hii inamaanisha mtoa taarifa ni Bumu da namba Moja. Utatoaje taarifa ya mapambano kwa adui public? Hii inaonyesha miongoni mwa wenye uwezo mdogo wa kufikiri, wewe ni namba mbili.
@godbless_lema Una tabia ya kuwadharau watu sana brother Lema. Huyu jamaa uwezo wake unajua vizuri. Leo unadiriki kumbeza badala ya kujiandaa tu kukabiliana naye.