@Kiongoz16863919@YerickoNyerereT@godbless_lema@HecheJohn Those who failed several times are the one who succeeded very good & are the best people in leadership, kama unabishi fatilia Obama alishindwa mara ngapi, trump amefeli mara ngapi, huyu hana records ya successful people.
Naomba kaa na wasaidizi wako uangalie hili swala kwa umakini sana kuna baadhi ya watu au baadhi ya wafanya biashara wanatumia hili tamko vibaya na kuwapa wananchi hali ngumu kwa kupandisha bei holela.
@SuluhuSamia
Muheshimiwa nakusalimu kwa jina la Muungano,
Nipende kuwasilisha yafuatayo
Kwanza nishukuru kwa kutoa tamko wafanyabiashara wasibugudhiwe hili ni jambo jeme sana lakini, nahisi watu au baadhi ya wafanyabiashara walielewa hili tamko vibaya,
@Mwanahalisitz Wacha Mungu wengi na viongozi wa Dini imani yao kwa Mungu ni haba sana, huu ni mda wa kurudi kwa Mungu na sio kutegemea vilivyo tengenezwa na Binadamu make zote ikiwemo barakoa zimeproove failure. Ni Mungu tu atatukumboa na janga hili kama ilivyokua mwaka Jana tunategemea Mungu