@SuluhuSamia Tunamuenzi BabaTaifa Mwalimu Nyerere na Tunakuombea Mungu Maisha Marefu Mama yetu na sasa nachelea kusema UTABAKI KUWA MAMA WA TAIFA #SSH2025-2030
Naibu Katibu Mkuu wa @ccm_tanzania Tanzania Bara Ndugu Rodrick Mpogolo amejumuika na kuzungumza na viongozi katika mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kiutendaji viongozi wa UVCCM toka kata zote za Mkoa wa Dar Es Saalam
#TukutaneKazini
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg kheri Denis James leo Machi 5,2018 amefunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kiutendaji viongozi 204 wa UVCCM toka kata zote za Mkoa wa Dar es Saalam yaliyofanyika kwa siku 3 katika Ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere.
#TukutaneKazini