WITO KWA WADAU KUTOA MAONI KUHUSU AZIMIO LA BUNGE KUHUSU MAPENDEKEZO YA KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA TANZANIA NA DUBAI KUHUSU UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI TANZANIA
@MwakibingaExson@ummymwalimu@ElishaOsati@association_mat@DrArabiFrank MCT ni baraza la Tiba la Tanganyika liliwekwa kwa sheria ya bunge, Mwenyekiti wa bodi yake anateuliwa na Rais wa JMT na wajumbe wa baraza wanateuliwa na waziri wa Afya.
MAT ni chama cha madakari, kama TDA ambacho ni chama cha madaktari wa meno, vyama vingine ni PAT, AGOTA
Medical Council of Tanganyika ni baraza la tiba lililoundwa kwa sheria ya bunge. Mwenyekiti wa baraza anateuliwa na Rais na wajumbe wanateuliwa na waziri wa afya.
Majukumu ya baraza ni kusimamia wanataaluma wa kada 17 za afya wakiwemo madaktari.
Hiki ni kitabu ambacho nimekisubiria sana. Mzee Kasaka ana mengi sana ya kutueleza. Nakumbuka kumsikiliza sana akiwa Mbunge wakati huo Bunge likikaa Karimjee Hall na likirushwa RTD. Wabunge machachari alikuwa yeye, Philip Marmo, Lepilal Ole Moloimet na Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Bunge lililojaa watu wanaoweza kusema ndiyo ndiyo kufuatisha mawazo ya watu wengine halitasaidia maendeleo yetu wala demokrasia. ― Julius Nyerere (Tanzania’s founding father and former President)
#MwlNyerere#ChangeTanzania
Tanzania is celebrating #NyerereDay today, 14 Oct.
In honour of the occasion, here's a multipart interview with Nyerere, 13 July 1960, on the Parliament grounds in Dar.
The following month TANU would win national elections & Nyerere would become Tanganyika's Chief Minister. 1/4
MAKUBALIANO YA MUUNGANO 6; Bunge la Tanganyika ndio litakuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , ndipo Nyerere akachagua wazanzibari 30 na wabunge 10 ili wawe sehemu ya Bunge. Hapa tena ni Tanganyika imegeuzwa Muungano – @TunduALissu#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Ukiangalia kitu kinachoitwa Waraka Mweupe utaona saini y
Nyerere
Sasa ukiangalia Waraka wa 1992 wa Tanganyika inasema
Raisi atakua amiri Jeshi mkuu
Tume zote zitateuliwa na Raisi
Akapewa mamlaka ya Kuvunja Bunge pamoja na kuteua baadhi ya wabunge
By Lisu https://t.co/0hbMvzYOe7
Matakwa ya JKN yaliigizwa katika katiba moja kwa moja. Umri wa miaka 40 ndio umri wa JKN mwaka 1962 wakati Tanganyika inakuwa Jamhuri na umebaki villevile hadi leo. Kabineti kama kamati ya ushauri imebakia vivyo hivyo na bunge pia limebakia kama mhuri bubu wa maamuzi ya serikali.
kwa miaka zaidi ya 20, Saada Osman, mjane wa aliyekuwa Katibu wa Bunge la Adam Sapi Mkwawa, Yasin Osman, amekuwa akipigania haki yake ya kiwanja kilichopo Upanga ambacho amedhulumiwa bila mafanikio yoyote. zaidi —> https://t.co/IrS2QsJJ8F
Je, Wajua?
Sehemu ya Pili: Bunge
Ukiondoa Andrew John Chenge, ni wabunge wawili tu katika Bunge la sasa ambao wamewahi kuhudhuria vikao vya Bunge vinafanyikia Karimjee. Wabunge hao ni William Lukuvi (Isimani) na Richard Mganga Ndassa (Sumve). Waliingia bungeni mwaka 1995
Mkataba huo ulithibitishwa na Bunge la Tanganyika na Baraza la Mapinduzi hapo tarehe 26 Aprili, 1964 na mnamo tarehe 27 Aprili, 1964, viongozi wa nchi zote mbili walikutana katika ukumbi wa Karimjee, Jijini Dar es Salaam na kubadilishana Hati za Muungano.
Bongo Hapo Zamani:
Wabunge Vijana Wapiganaji...
Edward na Abdul. Mbunge Wa Monduli Na Mbunge wa Arusha Mjini. Pichani nje ya ukumbi wa Bunge, Karimjee, Dar es Salaam.
Maggid,
Dar es Salaam.
PS: Picha ya Maktaba mjengwaonline