@mwlwakiswahili Amjibu @prophetbushiri1 kama anaweza.. If Bishop Gwajima is really strong why don't reply to what Major1 said..?? His days will be numbered😂
@AllanJozee@GeraldHando MIC ilipaswa iachwe on ili ujumbe umfikie na kama ni uongo akanushe hata kwa masaa 24 mfululizo pale Ngada Fm kwake..#RIPMangwea😭😭😭😭
@GeraldHando Nasikia una roho ya huruma kama ya wale dada zako mnaotoka nao mkoa mmoja😂😂 usitukane watu wakati na wewe inajulikana kazi zako..wanakustahi
@nyello@NevilleMeena Na nina uhakika @NevilleMeena na mwenzake Balile kesho watakuwa macho kodo kwenye Tv na chuki binafsi zao..vita yao against serikali.Itafail
@simpertNdunguru@manyasy@NevilleMeena@Semkae Haikufaa iwe tume..issue inahusu Tv unachukua kina Balile wahariri wa Magazeti tena peivate kama clouds.. hakuna uwepo wa polisi .uvamizi.??
@HMASHELLE Can you give a substantive truth about hicho kinachoitwa uvamizi..?Mlitaka aende usiku bila walinzi au walinzi wabebe rungu.?TEF ni court..?
@nyello@NevilleMeena Weak minds discuss people,the average discuss events,the strong ones discuss ideas~Socrates.Kama hivyo kwann waliitumia vibaraka wa ngada fm
@mwlwakiswahili @NevilleMeena@DanielManda Muulize @NevilleMeena na TEF wanaotumia report ya upande mmoja kumhukumu mtu kwa chuki zao na kutumiwa na watu😂😂 usikurupuke haujui chochote