@saidv1993@bajabiri@CRDBBankPlc Hakuna anayekuzuia kuamini u achokiamini maana kuamini kwako yote hayo hainiongezei chochote. Isipokuwa wenye fikra hufikiria maisha yajayo.
@saidv1993@bajabiri@CRDBBankPlc Anguko la binadamu yeyote husababoshwa na ulimi/fikra zake. Mungu akusaidie sana maana huijui hatma yako, kiburi cha uhai kisikudangaje kujiona unajua sana. Maisha ni haya haya hakuna jipya chini ya jua ndugu.
@wasafirtanzania Ndiyo mzee ni jina kongwe wakati akiwa na hiace, Johanvia jina jipya baada ya kuanza mabasi akaona jina kongwe liwe mbele na jina jipya liwe mbavuni. Hivyo basi Ndiyo mzee anakuwa ni mtu na Johanvia ni kampuni.
@AbroadTanzania@JamiiForums Hivi pale Mutex Mo alipewa kama store au alipewa kiwanda, magufuli alimfukuza pale Mutex na akahamia Mara Oil ambapo yupo mpaka sasa ambapo ndipo anahifadhi bidhaa zake mbalimbali kwa mauzo, na hapo mutex wamewekwa suma jkt, zungumzia kuhusu malipo ya waliokuwa wafanyakazi Mutex