- Someone graduated at the age of 22, but waited years b4 securing a job.
- Someone became a CEO at 25 & died at 50 while another became a CEO at 50 & lived to 90 years.
- Someone is still single while someone at his|her age has a family.
Ukitaka kujenga biashara kubwa, anza kwa kumuelewa mwananchi wa kawaida—anatumia pesa yake wapi, na teknolojia inaweza kumsaidiaje kupata zaidi kwa pesa yake?
Tatua matatizo halisi. Jenga kwa ajili ya Afrika.
Mahala nilipofikia, hata uniambie matatizo yako yaniguse kwa namna gani, sigusi akiba yangu hata kidogo. Kila mmoja ashinde mechi zake. Nashukuru kwa usikivu wenu!