Kina @mlinganya na @EsirEid wana zungunza ukweli. Kuoa SINGO MAZA NI KUCHOMA HELA ZAKO BURE. aki kutana na mzazi mwenzie wana maliza kazi.๐ฏ๐ฏ๐ฏ
BE CAREFUL WITH SINGLE MOTHERS
@samatimemagari kuna udereva wa mjini n wa high way n vitu viwili tofauti ni bora uonekane mgen wa njia kulko kujifany mjuaj aisee usije ukaipmia chombo ya serikal 90% huwa average speed over 150km/h sas usije ukafata km sio mzoefu na usije ukaiga uendeshaj wake utakufa wapil n mabasi
@INFLUENCERjr USIWE UNAMFANANISHA SAKA NA VITU VYA KIPUUZ KATIKA MAISHA YAKO YOTE ,KWNY LIGUE AMBAYO WANAKABIA MACHO , we kwa akil yako hako kahind atatoboa pale epl nguvu zenyew hana kanapepesuka ...halafu saka huwa akabwagi na beki mmoja mzee lazima wawe 3 na rafu juu ndio utatoboa wapuuz