@MsigwaGerson@Mgeni_Tz Hivi unaweza kumpa mtu aendeshe bandari miezi 12 utampimaje? Hata hizo vifaa ataleta sangapi? Hayo maboresho ya mapungufu atafanya within 12 months kweli?
@privaldinho Priva huyo ni mtu mwenye ujuzi, amejitoa sana kwajili ya yanga, ametoa maoni kama mwana soka na mtu mwenye ujuzi, kama mnaakili mnaihitaji kuchukua Ponts na kufanyia kazi halafu mchutame