Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza Novemba 04, 2026 kuwa siku ya uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Chamwino, Mkoa wa Dodoma, pamoja na madiwani katika kata 11 za Tanzania Bara.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ramadhani Kailima, amesema uchaguzi huo unafanyika kufuatia aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo Deogratius Ndejembi kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
@SilvaSwai@_dukani Safi, je mfumo huu unawalenga pia wafanya biashara ndogo ndogo? Manake wao wana changamoto kubwa ya utunzaji kumbukumbu. #NMBFanikiwaAccount
@NMBTanzania@_dukani@_dukani wana app na mifumo ya kompyuta inayoweza tumika kwa biashara yoyote ndogo/kati/kubwa. SMEs zaidi ya 50 wanatumia @_dukani DSM.
@SilvaSwai@_dukani Good. Tungependa pia kuwapa taarifa hao SMEs kuwa hapa kwetu tuna mfumo maalumu kwa ajili yao kuwawezesha kifedha https://t.co/9GcT5hoHc5