@realjmine@abaanzinza Issue ni kwamba wanajua Baada ya upelezi utaachiwa kwasababu haujafanya.
Ila mpaka upelelezi ukamilike umesha kaa sana lupango..
Ushachafuliwa jina, sema kama unayaweza ukishinda kesi na wewe unafungua kesi ya kudai fidia kwamba umechafuliwa.
Ubaya ubwela
@MichaelShimwel2@msakufarm Lakini hainunui viazi.. ugumu wa soko kaka mkulima unaamua uuze tu kwasababu mteja bila lumbesa hanunui na unaona wenzako wanauza lumbesa.
@KMwamadati@spana_Konki@Mswahili_smart Hadithi hiyo ipo au haipo?. Na je hadithi zimeandikwa Toka zamani ama bado zinaandikwa?. Maana ukisema wanaingiza propaganda za kimamboleo means hizi ni hadithi mpya zinatungwa Karne hii ya 21 sio?