@MartinL01584477 Sasa umepost ili upate thawabu za wanadamu au?
📖Mathayo 6:1 Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni.
@Tanfootball tafuteni kocha msitupotezee muda kuja kuangalia wachezaji wetu wazuri wakiboronga boronga. Mpira wetu umeshakuwa. Ni aibu kwa matokeo haya
@massid_@chapo255 Ukristo na uislam ni dini zilizoanzishwa na wanadamu. Yesu hakuwahi kuwa mkristo wala wanafunzi wake. Vile vile uislam nao ulianzishwa baada ya kuonekana kama ukristo unatishia kuumeza ulimwengu chini ya utawala wa ufalme wa Kirumi ambao unatawala ulimwengu mpaka sasa
@chapo255@96Jamaly Sawa but kama kuiona mbingu ni kwa maandiko haya tunayoyasoma, ni ngumu kwa mkristo na muislam wa dhehebu lolote ulimwenguni kuuingia ufalme wa Mungu
@kapeto98 Wanamtolea Mungu kwa agizo la nani. Mungu anasema ibada yako ni bure ikiwa utamuabudu kwa kufata maagizo yasiyo yake.
📖Mathayo 15:9 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu.
@kapeto98 Hakuna mtumishi wa Mungu hapo? Uliona wapi mtu asiye mlawi katika maandiko akitwaa sadaka kwa wenzake? Yesu na wanafunzi wake wapi walitwaa sadaka? Iweje mtanzania achukue sadaka tena zaidi anauza huduma