@RichKavishe @Sativa255 Wakitoa katiba mpya kuatakuwa na vurugu? Acha mambo yako hii serikali haikufaidishi chochote sio huduma za kijamii yaan uko kama polisi tu
@DahayeLight@godbless_lema Kuzaliwa CCM haimaanishi hutakiwi kuona makosa yanayofanyika, ni jukumu la kanisa kukemea maovu yakitokea kwenye Jamii na ndio sababu kitima anasimama kukemea mauaji yaliyofanywa oktoba, hao wanaokaa kimya ni kama mauaji kwao n jambo jema, anyway acha uchama na uone uhalisia kaka