@JamiiForums Kama huyu ndio mbunge eti anatakiwa awawakilishe wananchi na kichwani mwake anadhihirisha kutokuwa na akili kama hivi!! Tanzania tuna safari ndefu sana.
Leo Jijini Brussels, jina la Mh Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi feki ya uhani Tanzania limewasilishwa rasmi kwa Bunge la Ulaya kwa ajili ya Tuzo ya Uhuru wa Mawazo ya Sakharov 2026.
Mh Lissu amependekezwa na wabunge wa @EPPGroup na wale wa @ecrgroup.