@fatma_karume Plz Shangazi naomba msaada wako. Mm nipo kijijini sana but mdgo angu yupo Dar anataka kuonewa kwa kudhurumiwa urithi wake. Alioachiwa na baba na mama yake, ambao ni marhemu kwa sasa amebaki pekee
Wanafunzi Wa Chuo Cha Mzumbe Kampus Ya Morogoro Wanatafuta Field Katika Taasisi Yoyote Au Shirika Lolote.
Wamesomea B/Business Administration In Marketing. Mafunzo Yao Katika Mashirika Hayahitaji Malipo, wanatafuta Nafasi Kwa Maeneo Ya Dar.
📞0714770455
PLEASE RETWTEET
Gharama za kuwa na msafara zaidi ya 50 tena brand new yakiwa full tank na full AC zipo ila gharama za kununulia hata taa ya chemli kwa ajili ya kuendelea na zoezi la uokoaji wa binadamu hamna.
@UpendoPeneza Hivi hapa Sumatra wanafanya nini? Jeshi la uokoaji halipo? Vitengo vya maafa na usaidizi ahavipo ? Maisha ni Uhai na uhai ni pumzi ya Mungu. Lkn Tz ni Siasa na Ulanguzi bila kujali et Giza ni kikwazo HAKUNA MAANA KABISA.
@TheoGiyan Basi ndgu yangu usiendelee na hiyo mitakwmu yao waachie wenyewe wakalalie sisi kwetu uhalisia wao takwimu mfu. Usipotezwe mpigwe faini tena muongezewe mkopo mwingine🤔🤔 Kunahaja ya kuwepo hapa
Tumepokea mikopo Trillion 3.3 kutoka STANDARD CHARTERED na 16 T kutoka Exim ya China, pia BoT wametoa taarifa kuwa serikali imefanya overdraft ya 1.5 T na wakati huo huo NEC imetangaza chaguzi za marudio katika Kata 37, bado inahitaji doctrine ya uchumi au 🚀 science hapa?
@TheoGiyan Eeeeh! Mungu utuhurumie maana Hii ni sehemu ya Wanawake kuimbiwa nyimbo za kufarahisha ili auzwe!! Wanakopa nn wakt mali wanazo. Mali bila daftar ........ Sawa na Kuongoza si kurauka na nshwaki mdomoni
@swahilitimes@bajabiri Huuu ni upuuzi hiv lak 900,000 inatofauti ya lak ngapi kwenye 1,200,000 na kutoagazi ama kuingiza mchele ndo kusema huo uliopo utatosha na kuifanya bei ishuke ama kuwa ya kawaida. ? Wachen kutupumbaza