@gg_ihy Suala sio akiba ...suala ni kutomshirikisha mumeo kwenye utafutaji wako,ujenge nyumba bila kumshirikisha,ununue kiwanja pasipo kumshirikisha...halafu unataka akuone mpo pamoja. Huyo atakuwa sio mmeo bali kitu kingine kabisa. So far kama ni kuweka akiba wekeni ila usifiche vikubwa
Mnajua maana ya kuwa submissive? Msingi wa mwanamke yoyote lazima awe kwenye submission vinginevyo achana na habari ya kuolewa maana utapishana na asili na haitakuacha salama.
Kwahiyo dada mzuri unahisi mwanaume akijua kuna vitu unamficha ataendelea kukuamini na kukuchukulia km alivyokuwa anakuchukulia?
Nakuhakakikshia , akigundua hili atajua hayuko sehemu sahihi...na atatafuta mwanamke mwingine bila kukuambia,yafutayo yatakufurahisha😊
Nilivyo maliza chuo niliamua kwenda Ifakara sawasawa na wazo lako,huko nilijaribu kujiajiri kwenye mambo yanayohusiana na career yangu mwk mzima sikupata kile nilichotarajia baadae niliingia kwenye kilimo ikawa the same.Ushauri mdogo naoweza kutoa ni kuwa hela inatafutwa mjini
Shida sio kukabidhiwa mkataba....Je wana hiyo thamani ya kupewa mkataba? Vijana wengi kazi yao inafanyika zaidi mdomoni kuliko vitendo...bra bra ni nyingi sana. Waelimishwe kabla hawajapotea.
@nyamseri Sijabeza elimu! Nimejaribu kuuliza maswali maana naona tunafuta sana destuli kuliko uhalisia wa mambo. Mfano mtu anapata 20M anakimbilia kujengea fedha yote. What next....Umasikini hauwezi kuisha kwa namna hii.
Kwani wenzetu shuleni mlikwenda kufanya nini? Au Afrika sula la kusoma ni destuli na sio kumfanya mtu awe na upeo mkubwa wa kutafuta suluhisho ya changamoto zinazomzunguka kiufasaha!
Watu walioajiriwa maeno ya vijijini wanapiga hela bwana , unakuta mtu ana boda 17 ,Maduka 4 makubwa , nyumba 3 gari 3 , hapo bado Mifugo na mashamba 🙌🏼 , hapo anamiaka 3 tu kazini .