@rajuQuire Babu huwa anatanguliza koti lengo ni kumfanya bibi aweke mambo sawa. Pia kama kuna mtu yupo na bibi apate muda wa kusepa. Babu hataki stress kabisa๐๐๐
@JotiOfficial Ni kuishi maisha yenye kurudisha utukufu kwa Mungu aliyetuumba. Namaanisha hv katika maisha yako unatakiwa ufanye kitu ambacho kinampendeza Mungu na kinamfanya Mungu afurahie uwepo wako duniani.
@MsomiKhan18 Nikiwa chuo kikuu. Profesa alituambia "nyie vijana wakiume kazazeni kusoma. Msijifananishe hawa dada zenu. Wengi wao wanapata degree za chu....p"