After 15 years as a dev, my mission is raising the next generation of African developers. As a GDG Organizer & YouTuber teaching code in Swahili, I want to attend #gotokotlinconf26 to bring world-class Kotlin knowledge back to 🇹🇿 & empower devs facing language barriers. 🚀
Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina🙏
Zaidi ya nusu ya Watanzania ni vijana (Sensa, 2022). Ni kundi kubwa kuliko mengine.
Vijana ni nguvu kazi ya taifa na ni tegemeo kubwa katika kuchangia ukuaji wa uchumi. Ni vema kundi hili likatumika vizuri kwenye uzalishaji.
@undptz@globalpeacetz@UNDPAfrica#DumishaAmani
Benki ya @NMBTanzania imetambuliwa na kupokea tuzo tatu za kimataifa ambazo ni:
🏆 Benki Bora Tanzania 2023 (Kutoka Tuzo za Umahiri za EuroMoney)
🏆 Benki Bora ya Wateja Maalum (Kutoka Tuzo za Umahiri za EuroMoney)👇
"When the right amounts of products are delivered to the right places, at the right times, then agility and resilience can grow across the health supply chain."
Read our new report "Digitizing Healthcare Demand and Supply in Africa" here: https://t.co/0bL0NjIDq2