@Sisimizi3 Hawawezi kuajiri wasomi machawa kama wewe, usifikiri ni wajinga kiasi hicho. Mtz ata kwenye sekta ya ukandarasi huwezi kumpa ukandarasi labda kipande cha kazi. We are failure in all aspects. Nchi imejaa upumbavu wa kichawa Hadi taaluma zinakosa heshima inayostahiri.