Dk bora kabisa ni yule anayeuona utu nyuma ya ugonjwa (person behind the illness)
Wengi wanakimbilia kuhangaika na ugonjwa na kumsahau kabisa mtu mwenye ugonjwa.
Udaktari ni kazi ya kuwahudumia watu siyo magonjwa.
Nida Wanasema kama umepokea (ujumbe) Sms basi nenda kachukue ID yako na kama upo mbali na ulipojiandikishia basi wanakuruhusu kumuagiza au kumtuma ndugu yako au jamaa yako ili akakuchukulie, anachotakiwa kufanya ni kuonesha ujumbe (sms) uliyotumiwa
NIDA wanasisitiza watu wanaotakiwa kwenda kuchukua vitambulisho ni wale tu waliopokea ujumbe mfupi ama sms
Ukishindwa kuchukua ID yako ndani ya mwezi mmoja basi NIDA watasitisha matumizi ya namba yako.
Ndugu, mtanzania jitahidi ukachukue kitambulisho chako katika ofisi za NIDA
Q. What is the bleeding risk of nonsteroidal anti-inflammatory drug (NSAID) use in addition to OACs for the treatment of #cvVTE?
A. Patients treated w/ OACs for VTE experienced a >2-fold ↗️ in rates of bleeding when using concurrent NSAIDs.
More: https://t.co/2EBElPvdzR #cvCoag