@asungwile@Sativa255 Ikulu ya Chamwino ni kubwa sana
.. nasikia ukuta tu kilomita zaidi ya 24, ndani ipo milima magufuri alikua anaenda kupiga picha
Sasa ng'ombe inashindikanaje kufugwa
@TanzaniaOneJezi Good leaders of Africa wanatafutiwagwa choko choko kuondolewa, kama ambavyo mmeanza kumchokoza Kagame wa watu...amewapiga swali kaz ya Monusco maika 30 ni nini huko Congo mmeshindwa kujibu..
Hata wakina Gadaf walitafutiwa choko choko hivi hivi
@Sativa255 Kama hukapita hizo sehemu zote mbili you are not elligible to judge wenzako tumepita kote advance na diploma,
Nlipokuwa Advance nliidis sana diploma
Nilipoenda diploma nikaidis na kujuta kwenda advance
Anyways zote ni njia positive tuziheshimu tu
@Sativa255 Mdogo angu Sativa, Advance ni kugumu kama elimu yako ni tia maji tia maji, sanjali na hilo pamoja na ugumu lakin kupata chuo kwa coz unayoitaka sio uhakika
Wakati ukienda diploma, unachagua uwe nani na unakuwa kwa uhakika, diploma unapata mkopo, unapata ujuzi,