@Mkadimbajnr Kwa vile Leo alikuja hili limeisha.. Trust! Ukiachana na kipaji, bahati nk. Pia inategemea sana wqtu wanaokuzunguka, utayari na commitment yako. La sivyo ukiwa na moyo mwepesi kila mida ukamiss kuwaona jamaa zako wa utoto, kipaji hakiwezi kukufikisha popote
@swahilitimes Timu bora imezidiwa miaka 5 haijachukua ubingwa, imezidiwa mech 6 mfululizo kufungwa na mtani, imezidiwa mechi 5 za nyumbani bila matokeo ya ushindi, imezidiwa kila mechi mchezaji au wachezaji wanaumia
@ze_mandevu Ni mtazamo, haiwezekani wote tukawa tunawaza sawa
Amini tumeisha kwenye kivuli cha amani bila haki kwa kipindi kirefu sana. Hadi umeshakuwa ni utaratibu ndiyo maana wamekuwa suprised.
Amani ikitokea inakuja wide kwa wote, haichagui nani kavunjiwa haki but haki anahitaji elimu
@JumaAyoo Nisawa ila isiwe kwaajili ya kukimbia nchi yako.. Iwe kwaajili experience, exposure, kutanua mawanda ya kifikra na uchumi..
Ukienda usianze from zero iwe ni sehemu ya kuendeleza kile ulichonacho. Lakini siyo utoke huku ufike kule ukatafute mabox kwaajil ya kulalia sehem fiche