Nilisha wahi kupewa show (sex) na mtt wa tanga alikua anaitwa wahda! Siji kusahau aisee baada ya show nilikua kama zezeta hv! Ananishika mkono anasema twende nikakuogeshe! Show heavy alinikamuaa haswaaa! Nilikaa kwenye hali hiyoo week ndo naanza kujitambua. Tanga shikamoo
@CrownMediaTZ@OfficialAliKiba@SevenMosha@abou99kiba Sema kiba huenda ni immortal au ana damu ya vampire! Hazeeki, nina jamaa anafahamiana nae miaka mingi na picha alinionesha, saiv jamaa ana mvi ni mtu mzima ilaa kiba yupo vilee vilee! Kiba ni tom cruise wa east Africa
Ukiambiwa huyu alikua anajaza Taifa & kipenzi cha watu 2000-2010 huwezi kuamini
Sasa hivi hakuna anae mzingatia, anaingia ukumbini ye ndio anashangaa watu
@irigo_peter@JrMshana@Gaspinho15@Dr_DGwajima Ko unataka kusema acess ya mitandao ni under 18 only! Ok naomba nipate maelezo mtu akifungua mitandao akiwa chini ya umri huo na adhabu yake!
@JrMshana@Gaspinho15@Dr_DGwajima Sasa sheikh mshana! Vijana kukata moto ni sifa? Vijana kukosa nguvu ya kufanya kazi kua na kesho iliyo bora ni sifa? Kama sio, kwanini umeandika ivyo? Unafrah kukata moto kwa vijana
@JrMshana@Gaspinho15@Dr_DGwajima Una ushahidi? The thing here ni huyuu anae iangalia camera then anakunywa pombe kali kama maji! Is not healthy kwake pia ata kwa jamii inayo muangaliaa
@swahilitimes Me nina swali, samahani lakini? Kwenye elimu na afya! Bado tuna changamoto sana, kwanini izo fedha zisiende huko hao nadhani wanaweza kujipambania wenyewe, kutokana na mabadiliko ya vyakula magonjwa yasiyo ambukiza yanakua kwa kasi sana! Kwann tusi target huko kwanza