Acha kujaribu kupendwa na kila mtu. Ukijifanya mtu usiye, utaishi kwa presha na bado watu hawatakuelewa.
Hakuna faida kutafuta kibali ya watu.
Mfurahishe Mungu na wewe mwenyewe. Watu sahihi watakupenda jinsi ulivyo.
Ask forgiveness every night. Because when you close your eyes, your soul departs your body. But its return is never guaranteed.. ๐งโโ๏ธโโก๏ธ