Tunamshukuru Mungu tumeweza tumekutana na mabalozi wote 490 wa Jimbo la Kasulu Mjini, tumegawa bendera 550 za @ccm_tanzania na kuzungumza nao kwenye semina maalum. Nawashukuru sana wananchi wa Kasulu Mjini kwa upendo wao.
Umoja ni nguvu. Kazi inaendelea
Yakobo : 1 : 27 - Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
@HusseinBashe Mimi mdau , kazi yako naiona haswa Katika upatikanaji wa Pembejeo kwa wakulima kupitia mfumo wa Ruzuku ulioasisiwa na MH Rais @SuluhuSamia . Napongeza Juhudi na mipango yako .
Yes, Rwanda and Burundi are also in East Africa, and they also deserve to be Considered, it's why ist call a Sheafra; for Shilling of East Africa and Franc. We need to balance the boat.
The East African Sheafra (SHF) Currency.
@CarolNdosi Duh! Kweli 5m ndo masharti yote hayo. Ningeshauri mfanye impromptu farm visits na mtakayekuta yupo kazini/active apewe tu huo mpunga. Kwanza huyo mwanafunzi atatekelezaje huo mradi na kusoma at the same time