BASATA haitakiwi kua na wazee
No exposure
Mziki wanaojua wao wa Band
This is why hatufanikiwi
Imagine Video ya Harmonize walitaka VideoQueen Aogelee Baibui au?
MY TAKE 30BONGO FLAVOR
Dudubaya Hatua kali sana Zichukuliwe kwa kumdhalilisha msanii mwenzake
2. No one is to blame zaidi ya hao waandaaji Why the fuck would u include Mtu ambaye kashaonyesha mara Kibao ni walking Bomb? Je kuna thamani anaongeza?
Kijiweni mnaweza piga stori hata masaa kumi za kuwakosoa viongozi,
Ukitaka kijiwe kife badilisha stori iwe ya kujikosoa nyie mienendo yenu na namna mnavyo yaongoza maisha yenu binafsi.