Nimejulishwa kwamba Mwandishi wa habari ALOYCE NYANDA anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Bugarama (Kata ya Bugarama kijijini Ilogi) Geita. Walimkamata jana huko Kakola. Muachini Nyanda haiwezekani kila anayejaribu kutumia akili zake vizuri awe adui wa serikali. #FreeNyanda.
NYAKATI NGUMU HAZIDUMU.
HILI NALO LIMEPITA—ASANTE MUNGU WANGU.
Account zangu rasmi ni hizi MBILI TUU.
@/tiva_talks @/tiva_familly
AM BACK…!🔥🔥🔥
#tutakuwepo🫵🏾😎