As the webinar continues from Tanzania shared about the advancements made in the menstrual information access & policy reforms in MHM management & missing gaps in menstrual waste management within school set up which is an emerging environmental concern
#MHMSelfCareInEastAfrica
Kulindwa kutokana na hatari zotezitokanazo na magonjwa ya zinaa ikiwemo Ukimwi ni mojawapo ya haki yako ya afya ya Uzazi ,wewe kijana Rika balehe
#WamamaWadogoTz
Kulindwa kutokana na hatari zote zitokanazo na magonjwa ya zinaa ikiwemo VVU NA UKIMWI ni moja wapo ya haki ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo.

#WamamaWadogoTz@UNESCO@GenderLinks@UNFPA

Huduma bora za afya ya Uzazi kwa Vijana na mazingira sahihi huchangia kwa kiasi kikubwa kupunguza vifo cha Uzazi maambukizi mapya ya VVU. Tuboreshe huduma ili vijana wa rika balehe wafikie huduma hizi# WamamaWadogoTz#