Upatikanaji wa taarifa , elimu na huduma sahihi za Afya ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wamama wadogo, Inawawezesha kufanya maamuzi sahihi juu ya maisha yao ya sasa na ya baadae #WamamaWadogoTz
Kulindwa kutokana na hatari zote zitokanazo na magonjwa ya zinaa ikiwemo VVU NA UKIMWI ni moja wapo ya haki ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo.
#WamamaWadogoTz

Upatikanaji wa huduma bora za afya ya uzazi zinazokidhi mahitaji ya vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo ni moja ya haki za afya ya uzazi kwao.
#WamamaWadogoTz
Haki ya afya ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wamama wadogo ni pamoja na kupata elimu na taarifa sahihi ya afya ya uzazi na ujinsia.
#WamamaWadogoTz
Kulindwa kutokana na hatari zote zitokanazo na magonjwa ya zinaa ikiwemo VVU NA UKIMWI ni moja wapo ya haki ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo.
#WamamaWadogoTz
Kulindwa kutokana na hatari zote zitokanazo na magonjwa ya zinaa ikiwemo VVU NA UKIMWI ni moja wapo ya haki ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo.
#WamamaWadogoTz
Kulindwa kutokana na hatari zote zitokanazo na magonjwa ya zinaa ikiwemo VVU na UKIMWI ni moja wapo ya haki ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo
#WamamaWadogoTz
Access to quality reproductive health services that meet the needs of adolescents, including girls who became pregnant at a young age, is one of their reproductive health rights.
#WamamaWadogoTz