Upatikanaji wa huduma bora za afya ya uzazi zinazokidhi mahitaji ya vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo ni moja ya haki za afya ya uzazi kwao. #WamamaWadogoTz
Elimu ya afya ya uzazi kwa wamama wadogo inawasadia kuweza kufanya maamuzi sahihi juu ya maisha yao pamoja na maendeleo yao ya kiuchumi na kijamii.#WamamaWadogoTz
Kulindwa kutokana na hatari zote zitokanazo na magonjwa ya zinaa ikiwemo VVU NA UKIMWI ni moja wapo ya haki ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo.
#WamamaWadogoTz
Upatikanaji wa huduma bora za afya ya uzazi zinazokidhi mahitaji ya vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo ni moja ya haki za afya ya uzazi kwao.
#WamamaWadogoTz
Haki ya afya ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wamama wadogo ni pamoja na kupata elimu na taarifa sahihi ya afya ya uzazi na ujinsia.
#WamamaWadogoTz
SRH Rights is the key for adolescents including young mothers access to the right SRH and Sexuality knowledge and information at a right time #WamamaWadogoTz
SRH Quality Service should be provided to adolescents and young people specifically to young mothers to reduce the risks of unintended outcomes #WamamaWadogoTz
Research has shown that there is the possibility of young mothers getting unintended pregnancies within two years if they can't access the right SRH information. #WamamaWadogoTz