Unaweza fikiria unachotamani kusema kwa watu kisiwe cha msingi ilihali kuna mtu anaweza kuongea kile kile ulichokiwaza kichwani mwako na akaonekana bora.
Tofauti yake na yako ni “Imani na uthubutu wa kuamini sauti yake ya ndani” .
Amini katika mawazo na sauti yako ya ndani.
@tadeyo255 Tanzania Development Youth Organization tukiwa tunawajengea uwezo vijana katika mada za ujasiliamal wilaya kakonko katika zahanat ya kinonko
Elimu ya Mazingira kwa Vijana ni Mpango Mzima , Vijana Tuwajibike huku Tukitunza Mazingira .
Ni kuelekea Siku ya Vijana Duniani 12 Agosti 2023
@unfpatanzania#AfriyanTz#IYD2023
Happy New Month !
August is here, a month for highlighting the available youth decision-making structures at national and regional levels, identifying gaps and strengths for advocacy purposes. #AfriYATz.
Adolescent and young mothers’ Reproductive Health Rights involve access to education and accurate information about reproductive health and sexuality.
#WamamaWadogoTz
Haki ya afya ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wamama wadogo ni pamoja na kupata elimu na taarifa sahihi ya afya ya uzazi na ujinsia.
#WamamaWadogoTz
Haki ya afya ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wamama wadogo ni pamoja na kupata elimu na taarifa sahihi ya afya ya uzazi na ujinsia.
#WamamaWadogoTz
Upatikanaji wa huduma bora za afya ya uzazi zinazokidhi mahitaji ya vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo ni moja ya haki za afya ya uzazi kwao.
#WamamaWadogoTz
Kulindwa kutokana na hatari zote zitokanazo na magonjwa ya zinaa ikiwemo VVU NA UKIMWI ni moja wapo ya haki ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo.
#WamamaWadogoTz
Kulindwa kutokana na hatari zote zitokanazo na magonjwa ya zinaa ikiwemo VVU na UKIMWI ni moja wapo ya haki ya uzazi kwa vijana balehe wakiwemo wasichana waliopata mimba katika umri mdogo