Kijana wa miaka 21, Sasan Azadvar Jongani kutoka mji wa Isfahan nchini Iran, ameuawa kwa kunyongwa baada ya kukamatwa akishiriki Maandamano ya kupinga Serikali.
Mahakama ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa Sasan alihusika katika maandamano yaliyolenga kuipindua Serikali.
Inadaiwa kuwa alirusha mawe kwenye gari lililokuwa limewabeba maafisa wa Serikali, akavunja vioo vyake na pia kuwarushia mawe maafisa hao.
Mahakama hiyo pia inadai kuwa kabla ya kushiriki maandamano hayo, Sasan aliwaambia watu wa karibu naye kuwa angeingia barabarani kwa lengo la kuipindua Serikali, na aliwahamasisha marafiki zake kushiriki.
Hata hivyo, mashirika ya kutetea haki za binadamu yanasema haijulikani wazi jinsi alivyokamatwa, kama alipata wakili wa kumtetea na mazingira yaliyomfanya kukiri makosa hayo.
Siku ya Jumatano, Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Tรผrk, alisema kuwa tangu kuanza kwa maandamano nchini Iran, watu 21 wamehukumiwa kifo huku zaidi ya watu 4,000 wakikamatwa.
Aidha, Mashirika mawili ya haki za binadamu yalisema kuwa mwaka uliopita nchini Iran, watu 1,639 walinyongwa, ikiwa ni idadi kubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika mwaka mmoja tangu 1989.
#KitengeUpdates
Sema Raia Wa Folex Ndo Zao Kujipiga Picha Na Hela Na Magari Mazuri Nakupost Mtandaoni ila Jamaa Akaona Hii Italeta Noma,
Sikilizeni Hii Podcast Msije Pigwa Mkaanza Kulia lia ๐
https://t.co/JBQELIjSSZ
@CodeMetalai@SuluhuSamia Mabadiliko ni mchakato kaka kama ndugu zetu tumewapoteza teari wakutosha tu mtu mwenye akili na ambae sio mbinafsi angelikubali kuachia hata madaraka lakn ndio Ivo tena mzee wanguuu mimi watu wanazidiwa natamaa za madaraka mnooo
Mwandishi ๐ค Tunaskia mtu wa kazi ulitapeliwa pesa zako ulizozipata Dar na ndo chanzo cha kuondoka, tuambie ilikua sh ngapi na kwanini uliondoka Dar.
Mtu wa kazi ๐ค Yule jamaa alinitapeli shilingi 400,000 maana katika harakati toka tulivyoingia dar tumekaa mda wa wiki tatu tulipata shilingi 450,000
๐ค Lakini baada ya wiki tatu jamaa niliekua nae akanambia kua imebakia laki na nusu afu mimi akanipa elfu hamsini tu na hela alikuaga anachukua yeye tu
๐ค Baada ya hapo nilijisiia vibaya na hakunitendea haki ilibidi niende mbezi nikachukua gari nikarudi Dodoma
--------------------
Hivi unawezaje kumfanyia mtu mambo kama haya , kuna watu wana roho ngumu
Mtu wa kazi kama una connection nae msaidir mshikaji yuko humbe sana
Picha hii ya Askari wa Israel akipiga sanamu la Yesu kwa nyundo huko Lebanon imethibitishwa ni ya kweli na Jeshi la Israel. Jeshi hilo limesema hatua zitachukuliwa kwa askari aliyefanya kitendo hicho. Pia Waziri wa mambo ya nje wa Israel amelaani kitendo hicho na ameomba radhi.