I just added my name to the global call against war and nuclear weapons by the Dalai Lama, IPPNW and other Peace Prize Laureates. Sign now & RT, and they'll deliver our voices to key leaders from the Russian Federation and NATO. #NoWar https://t.co/IZ5irOMgXv
Nilifanya kosa kwa kutolea mfano wa wakati uliopita badala ya wakati ujao kuwa tusipokuwa waangalifu tunaweza kuchagua viongozi wenye matatizo ya akili, hapo nilikosea- Anthony Diallo- Mwenyekiti wa CCM, Mwanza
Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda awaomba wamiliki wa nyumba kupunguza kodi kwa angalau asilimia 50 wakati huu watu wakikabiliana na athari zinazotokana na vita dhidi ya virusi vya #Corona. Aamuru boda, bajaj kuingia katikati ya jiji kupunguza kero ya usafiri #HabariLeoUpdate
Sakata la Membe kuhusishwa na kuwania kiti cha urais mwaka 2020 lachukua sura nyingine, Ofisa wa @ccm_tanzania kutoka ofisi ndogo zilizopo Lumumba jijini Dar es Salaam Said Said Nguya naye atoa yake ya moyoni. #KwanzaHabari
Kwa Watanzania na wapenzi wa soka, ninajua tumeumizwa sana na matokeo ya leo. Hata hivyo hatupaswi kuvunjika moyo kwani Bado tuna nafasi kubwa kwenda #AFCON2019. Kwa wachezaji wa #Taifastars mimi binafsi Bado nina matumaini nanyi. Mungu anataka tushindie nyumbani. Tutashinda
Diwani kutoka Kata ya Kongwa Ndugu:Asia Halamga akichangia hoja wakati wa mafunzo ya Madiwani wa Wilaya Kongwa kwenye MRADI WA KUJENGEA UWEZO WA ASASI ZA KIRAIA NA JAMII KUKUZA UWAJIBIKAJI... https://t.co/hZGNbmBJtT