Its my birthday๐บ. Alhamdulillah. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuongeza mwaka ktk maisha yangu.
Ummy Mwalimu wa sasa Vs Ummy Mwalimu 10 years ago. Ama kweli siku hazigandi.
UZINDUZI WA TELA LA KUBEBA MIZIGO LILILOTENGENEZWA TANZANIA
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo ameeleza kuwa Tela ni la kipekee pia lina uwezo wa kubeba uzito wa tani tano za mizigo, lina ubora na ufanisi ulithibitishwa na Shirika la viwango TBS
"Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe
@SuluhuSamia ameongeza bajeti ya TARURA Mkoa wa Kigoma kutoka shil.bil 1.4 kwa mwaka 2020/21 hadi bil. 14 kwa mwaka 2021/22 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya barabara" Waziri @ortamisemitz
@ummymwalimu#MsumbaNewsBlogUpdates
Waziri @ortamisemitz @ummymwalimu wakati akizungumza na Sekretariet ya Mkoa ameweka wazi kuwa ktk Halmashauri 8 za Mkoa wa Kigoma,Halmashauri 6 zina hati za mashaka na 2 tu ndizo zilizopata hati za kuridhisha na sababu kubwa ni fedha zinazokusanywa kutokupelekwa benki kwa wakati
The African Development Bank (AfDB) has approved a loan of TZS 117.57 Billion ($50.7 million) to Tanzania in order to finance the country's response to the COVID-19 pandemic.
The loan will support the Government's $109 million (TZS 252.77 billion) national COVID-19 response plan
@kwanzajamii Hebu ninyi wote mnaepinga maoni aliyatoa Thabit tupeni taarifa yoyote mbadala iliyosheheni takwimu zilizofanyiwa utafiti kama yeye Thabiti. Utafiti hupingwa kwa utafiti mwingine ulio na vigezo