Uwepo wa biashara au brand yako online inahitaji nguvu za ziada kuipush kwa watu.
Good Content ni moja ya vitu vitakavyopelekea kuonekana kwako online...
Uwezi kuongea kuhusu Digital marketing au Branding bila kuzungumzia content (Maudhui)...
One thing ni kwamba...
Tusikubali kuurudisha UMBEA kuwa Trending stories zetu. Ikitokea labda mara chache kwenye Proper ni Ganda la Ndizi, mana haikwepeki.
Context: https://t.co/s42jdN89Q4
@ShukuruAmos@ShukuruAmos Kitabu chako cha #mbeleyamuda three month ago kilinipa client kutoka kule kule LinkedIn nko na contract ya miezi 6 now nitakutumia screenshot Whatsapp mkuu 🙏🙏🙏
@jorammtanzania Kabisa bro
Nakumbuka ndo ilikua tabia yangu mwaka 2022 ku boost matangazo
Kwenye pita pita zangu LinkedIn Learning nikakutana na ka free course cha Facebook Ads nikapita nayo.
Ilinipa matokeo matama kichizi
Ni unyama sana iyo