Utamaduni wa familia au mtu aliyefiwa, ndiye anatakiwa kuwalisha wanaokuja kuhani msiba, sijui tuliutoa wapi, ila kwa kweli hauko sawa. Ilitakiwa, wafariji ndiyo wahakikishe mfiwa au familia ya wafiwa imepata mahitaji yote, na si kinyume chake.
#TBT | Kiongozi wa juu zaidi duniani wa mpira wa miguu na Rais wa FIFA, Gianni Infantino katika NGUVU MOJA. Haya mambo tulinza zamani jamani. #NguvuMoja
Nguvu ya nchi haipimwi kwa ukimya wa wananchi, bali kwa uwezo wake wa kusikiliza sauti tofauti na kutafuta suluhisho kupitia haki, uwajibikaji. Ondoeni hao Polisi barabarani , uncertainty kills innovation and ambience. Ondoeni sababu za watu kutaka kuandamana. Kila kona Polisi ? Nchi imekuwa ya mashaka na wasiwasi sana hii.
Imani ya kweli haionekani pale kila kitu kinapokuwa sawa.
Imani ya kweli huonekana pale unapokuwa hujui kesho itakuwajeβ¦
lakini bado unaamka kila siku ukiamini kwamba Mungu hajamaliza kuandika story yako .