Kamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum.
Ushahidi huo umetolewa na mke wa mwanasiasa wa upinzani Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini, pamoja na ndugu wa Humphrey Polepole, mwanasiasa wa CCM ambaye hajulikani alipo.
"Leo CCM ukimkosoa @SuluhuSamia wanasema unamtukana, nchi gani hii watu wamejaa hofu, watu wanaiba rasiliamali za nchi, mbuga za wanyama zinauzwa, madini yetu yanaondoka kinyume na utaratibu wa sheria. Hata ndani ya CCM kumwambia @SuluhuSamia unapeleka nchi shimoni hawawezi kusema." Mhe. @HecheJohn@ChademaTZ2
Macho yako yanaona kama MIMI?😳
Huyu mtu alieuwa watu kwa MAELFU kwenye maandamano ya MO29 jana kaonekana akimfuatilia Makamu mwenyekiti HECHE na msafara wake.
Mtandao hausahau—naiacha hapa kama sehemu ya kumbukumbu zetu.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Picha Ya Kwanza Ni Mtu Anayefwatilia Msafara Wa John Heche Kila Aendapo
Picha Ya Pili Ni Mtu Aliyeua Raia October 29
Sasa Angalia Hizi Picha Kwa Umakini, Angalia Mkononi hiyo Bangili, Angalia Aina Ya Mavazi Anayopenda Kuvaa, Umbo La Mwili, Rangi Ya Ngozi
Unaona Ninachoona?
Maandamano ni Lugha ngumu, lakini ukweli mchungu ni kwamba, hiyo ndo njia pekee ya kumwondoa Samia na vikaragosi vyake, ambao kimsingi walijiweka madarakani kwa mtutu wa Bunduki.
Asante Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, Samweli Welwel.