@MayorUbungo Kama siyo wewe kutuna kwingi Sasa hivi aaa dawa imeingia naona shwali kwa hari ya kawaida kila jiwe litaguswa na kugeuzwa kuona chini kunanini hivyo kaeni mkao wa kura hii ndiyo tanzania hatujalibiwi .
@PantheraMe @tanpol Hata hao viongozi wenu ni wajinga Kama nyinyi kujisajili kwenye ligi ambayo unajua huna uwezo wa kushinda baada ya kufungwa sababu zinaanza refa wao haaa kwa nini ulipeleka timu uwanjani ili hari unajua refa wao msitupotezee mda tuacheni tu kapige bia sisi tumewadharau.
@PantheraMe @tanpol Sema Mimi wengine hatuna habali kabisa na haya mnayotaka yatokee tunawaza Kodi na bia mnataka tufanye maandamano kwa faida ya Nani?
@DrCyrilo@fatma_karume Wewe ni mjinga mmoja hujui kinachoendelea Africa kusini watu ambao hawana aridhi unasema hawabaguliwi wao wanaweza kua shida kuliko hata Somalia watumwa siku zote.
@HildaNewton21 Tuonyeshe wewe yako huko unakokuulizia ni pakubwa mno kwa nini usiweke Kwanza ya baba yako na mama yako ili tujue unamaanisha tofauti na hivyo ni ujinga kutamani mtu afanye kitu ambacho wewe kitakufurahisha,najua unataka kunikosanisha na watu nyie wafupi akili mnachaga chini au.
@LostMgallah@fatma_karume Nikiangalia hua mbavu zinauma hawa ndugu zetu sijajua ni nini lakini aaa ndiyo ubinadamu wenyewe kwa kweli hawa jamaa rangi yao ni ngumu kuifahamu.