Hakuna urafiki eneo la kazi.
Fanya kazi, lipwa, then go home.
Usi-overshare maisha yako binafsi.
When money is involved, move smart. Not every smile around you is genuine.๐
@CarlosNoriega88 Kwenye orodha yako kuna watu wakubwa sana kwenye Hip-hop mzee. Hoja ya msingi hapa ni FOCUS ya majani kwenye Hip-hop dhidi ya Duke Tachez. P-Funk angeendelea kukomaa na wasanii wa aina hiyo angeiacha Hip-hop pazuri zaidi ya alipofikia.
@omary___@PabloYende Narudi kwenye hoja yangu ya P-Funk na mainstream. Kwa ukubwa aliokuwa nao kama angeamua kukomaa zaidi na Hip-hop basi angeiacha sehemu nzuri zaidi ya alipoiacha.