@ezekiel_kamwaga@MagufuliJP Wamepata nafasi waonyeshe hicho unachowasifia. JPM alifanya alichoweza , tumeona kwa macho na tumegusa kwa mijono yetu. Matendo yake yataongea miaka mingi ijayo.
@the_blackvirus@fatma_karume @umwalimu Hata kama virus haina matibabu Daktari anachofanya ni kutibu dalili zinazojitokeeza kama Homa, kushindwa kupumua, kuishiwa maji nk. So kuita kituo cha matibabu ni sahihi