Nimesikiliza amapiano zaidi ya 500+ lakini hakuna Amapiano kali kama "Lengoma"ππ
Humo ndani Sami'Kay & Misokuhle waliumiza vibaya sanaπ₯π₯
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema yeyote mwenye kadi ya bima ya NHIF anaweza kutibiwa Zanzibar katika hospitali zinazopokea bima ya ZHIF, vivyo hivyo kwa Wazanzibari wanaokwenda Tanzania Bara.
π¨ Arsenal have already started working and planning for summer signings.
At least 3 signings are expected, could
be even more based on exits.
Top winger the priority; midfielder and right back also almost guaranteed. Strikers situation to follow.
π₯ https://t.co/mklcSINU7Y
Yanga Sc imefikisha UNBEATEN 4οΈβ£0οΈβ£ katika mechi za Ligi Kuu ya Nbc πΉπΏ
Mechi: 4οΈβ£0οΈβ£
Ushindi: 3οΈβ£3οΈβ£
Sare: 7οΈβ£
Kama watashinda mechi 1οΈβ£0οΈβ£ zilizobaki, watafikisha UNBEATEN 5οΈβ£0οΈβ£ na kuvunja rekodi yao ya UNBEATEN 4οΈβ£9οΈβ£
Mara ya mwisho kufungwa ni Novemba 7, 2024 walipofungwa 3-1 na Tabora
π¨ ONYO
Kutokana na Post hii, Naomba Ukipata
Muda Play hii video sikiliza kwa makini
ukiweza Rewind ili uelewe kinachosemwa.
Sikiliza alafu Tanua Akili yako vizuri π€£
Simama kidogo usiscroll. β οΈπ¨
Huyu ni Adam Nsekule.Tangu 2018 anapambana na matokeo ya spinal cord injury kila siku kwake ni vita ya kuishi. ππ. Hii si huruma ya maneno anahitaji msaada HALISI. ππΈ. Kiasi kidogo chako kinaweza kubadilisha siku yake leo. πβ€οΈ. Ukiwa ndani au nje ya nchi unaweza kumtumia mchango wako. ππ€². Ukishindwa kuchangia SHARE hii ifike kwa atakayesaidia. ππ’
Usipite kimya. Unaweza kuwa sababu ya yeye kuendelea kuishi. πͺβ€οΈ
π 0760749231 (M-Pesa βAdam Nsekule
π²π°π¦ CRDB: 0152709244900 -Adam Nsekule
ββββββββββββββββββββββββββ-
Stop scrolling for a moment. β οΈπ¨
This is Adam Nsekule.Since 2018, he has been living with the effects of a spinal cord injury every single day is a fight to survive. ππ This is not about sympathy he needs REAL help. ππΈEven a small contribution from you can change his day today. πβ€οΈ. Whether you are inside or outside the country you can send your support. ππ€² If you canβt donate please SHARE this so it reaches someone who can help. ππ’. Donβt scroll past. You could be the reason he keeps living. πͺβ€οΈ
π +255 760 749 231 (M-Pesa - Adam Nsekuleπ²π°π¦ CRDB: 0152709244900-Adam Nsekule
@MalisaGJ_@Dr_DGwajima@babalao__@mrishogambo@TuliaAckson@SuluhuSamia@WilliamsRuto@vonderleyen@zayedbakhresa@EceJay@FKihamu@HildaNewton21@Sativa255@Thereal_taivina@MkulimaKante@gloria_kimani@LarryMadowo@KennedyWandera_@AAgather@Liberatus80@MarkMwandosya@kigogo2014@MarekaMalili@MariaSTsehai@jmkikwete@mwigulunchemba1@nchimbie@KagutaMuseveni@fbuyobe
#doktamathew