@PolycarpMDM@Psiteshio1 Kihistoria Hawa majamaa ni wasumbufu wanatanga Tanga baada ya kumsaidia Muingereza Kwa kumpa ela kweny 1st world war ndio aliwaahidi atawap sehem iliyoko Palestine
Jamaa kawapa akasepa imebaki ni ugomvi tu ili aendelee kuchukua ardhi Ile, na njia pekes yy kudumu ni vita