Pole sana Mhe @HecheJohn. Uso wako unaonyesha uchungu na maumivu uliyobeba moyoni.
Mungu ndiye mfariji na tumaini letu na tumaini halitahayarishi.
Iko siku maumivu hayo yatakwisha kwa maana hakuna kidumucho chini ya jua Mungu ndiye mratibu wa mambo yote na kwa nyakati zote.
Ukiwa una shinda Bar, utaanza kuona tabia za kuomba watu pombe ni za kawaida.
Ukiwa una garage utaona tabia za matusi ni kitu cha kawaida.
Ukiwa unashinda vijiweni utaona tabia za umbea na uchonganishi ni kawaida.
MANZINGIRA, MAZINGIRA, MAZINGIRA.
"Watu wengi wanataka dunia yenye haki zaidi, usawa zaidi na utu zaidi."
- @VolkerTurk, Kamishna Mkuu wa @UNHumanRights wakati wa uzinduzi wa Muungano wa Kimataifa wa Haki za Binadamu. https://t.co/VnnbatG1AK
#StandUp4HumanRights
Ingekuwa ni kutoa tuzo
1. Best politician- Lissu
2. People’s president- Lissu
3. Best lawyer-Lissu
4. Best Orator- Lissu
4. Best public speaker- Lissu
Simply best