Financially - I'm going to win.
Career wise - I'm going to win.
Mentally - I'm going to win.
Emotionally - I'm going to win.
Physically - I'm going to win.
Family wise - I'm going to win.
With Love - I'm going to win.
In my life - I'm going to win.
I'm claiming it all
Huyu chalii miaka kama 3 iliyopita alikuja ofisin akiwa anauza sox, nikamuuliza kwanini unauza sox muda ambao ilitakiwa uwepo shuleni?
Akanijibu mama ake amelala nyumbani na anaumwa sana kiasi ambacho kimemfanya auze sox ili angalau akanunue panaldo za mamake.
Akaniambia baba
Siku Moja katika mwezi wa 9 mwaka jana, nilipigiwa simu na kampuni fulani maeneo ya Mikocheni.
Waliniomba nikafanye training ya team yao kwa Sababu MAUZO YAMEDUMAA na yanaelekea kufa kabisa.
Niligundua UGONJWA ambao unatesa kampuni nyingi hapa TZ.
Shuka na 🧵 tujifunze
Kuna mitihani ni mizito sana, in your prayers jitahidi kumwomba Mungu akuepushe nayo.
Mojawapo ni kupoteza uchumi, magonjwa sugu, broken family, Case za jinai, kupoteza mtoto.
Ukipata muda wa kusali kemea hizi roho chafu.
NOVENA YA MTAKATIFU RITA WA KASHIA
SIKU YA TANO (5)
Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu, Amina.
Sala ya Kutubu
Mungu wangu nimetubu sana,
niliyokosa kwako. Kwani ndiwe
mwema, ndiwe mwenye
kupendeza. Wachukizwa na
dhambi, basi sitaki kukosa
tena. Nitafanya kitubio,
naomba neema yako nipate
kurudi. Amina
SALA YA NOVENA
Ewe mchumba mpendwa wa Yesu, Mt. Rita wa Kashia; nakuja kwako tena. Nipo miguuni pako. Navutwa na wema wako kwa roho zenye kutaabika na kusumbuka. Unauona moyo wangu ulivyopondwapondwa kwa magumu ya dunia hii. Sipati tena tabasamu la thamani, roho yangu imevamiwa na mashaka mabaya, imani imetetereka kwa mshituko wa kukata tamaa, kama msituko wa kifo unapiga miayo miguuni pangu.
Nielekeze, Ee Mtakatifu mpendwa, nifanye nini katika mazingira haya ya kutisha? Nishauri nimwendee nani katika hali hii ya hatari katika maisha yangu?
Kama kweli wewe ni Mtakatifu wa hali zote za kukatisha tamaa, njoo unisaidie kwani najisikia nimepotea. Nakuja kwako wewe ambaye kila mara wawahurumia wanaoteseka. Nakuja kwako unisaidie. Je, hutanionea huruma kutokana na hali yangu? Mtakatifu Rita najua u mwema sana. Najua hivyo, ndiyo maana najiweka mikononi mwako kwa moyo wangu wote ili unijibu kwa njia ya Yesu, lile ombi langu ambalo kwa imani kubwa naliomba (Taja ombi lako hapa).
Baba Yetu (3)
Salamu Maria (3)
Atukuzwe Baba ( 3)
Kwa njia ya Mt. Rita: homa, madonda na tauni, viini vya maradhi mbalimbali, mapepo na ghadhabu vitoweke.
~Unawasaidia vipofu, viziwi, bubu na viwete: watoto wanaomba sana na wafu wanarudishiwa uhai.
Kwa maombezi yako: radi, tetemeko la ardi na moto havina nguvu. Kwa utakatifu wako mitego yote, hatari kubwa na vitisho vyote hutoweka.
~Unawasaidia vipofu, viziwi, bubu na viwete: watoto wanaomba sana na wafu wanarudishiwa uhai.
Hispania wanakutangaza kuwa Mtakatifu wa mambo yaliyoshindikana. Watu wengi wanaimba sifa zako. Kashia hutukuza jina lako.
~Unawasaidia vipofu, viziwi, bubu na viwete: watoto wanaomba sana na wafu wanarudishiwa uhai.
Kwa Mungu Mtakatifu na kwa Mwanae ziwe sifa, utukufu na heshima, sifa kwa karne zote za pendo la milele.
~Unawasaidia vipofu, viziwi, bubu na viwete: watoto wanaomba sana na wafu wanarudishiwa uhai.
Umemtia alama, Ee Bwana, mtumishi wako Rita.
~Kwa mhuri wa upendo na mateso.
TUOMBE: Ee Mungu, uliyekubali kumtawadha Mtakatifu Rita kwa neema, hata akakubali kuwapenda adui zake hadi akapata rohoni mwake na katika paji la uso alama za upendo na mateso.
Tunakuomba kupitia maombezi yake, neema za kusamehe adui zetu na kutafakari maumivu ya mateso yako, ili tupate tuzo ulilotuahidi kwa wapole na wanaoteseka. Unayeishi na kutawala, daima na milele, Amina
Atukuzwe Baba...
Mt. Rita wa Kashia, Utuombee
Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina.
ROZARI TAKATIFU - MATENDO YA UCHUNGU (Jumanne na Ijumaa)
1. Yesu anatoka jasho la damu kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie sikitiko la dhambi.
2. Yesu anapigwa kwa mijeledi kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kuacha dhambi za uchafu.
3. Yesu anatiwa miiba kichwani kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kushinda kiburi.
4. Yesu anachukua Msalaba kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kuvumilia taabu.
5. Yesu anakufa Msalabani. Tumwombe Mungu atujalie kuwapenda Yesu na Maria.
Ukiwa unaelekea kwenye vita, hakuna Plan B. Either you make it back home alive or you will be no more.
Unaaga home ukijua kuna uwezekano hautawaona tena. It might be the last time you see your family.
Ila kichwani bado una matumaini utarudi nyumbani salama because kuna watu wanakutegemea.
The lack of options mezani zitakufanya uishi kwa faith and hope. Utakuwa sio mtu vuguvugu wala miyeyusho.
Ila ukishajiona una options nyingi, yani Plan A mpaka Plan Z, there is no way utafanya vitu vyako seriously.
Mahusiano yatakushinda, kila biashara utajiona huna mkono, makazini ndo kabisa.
Acknowledge that the journey you are on is going to be tough, ili uwe more prepared psychologically.
But also acknowledge that you will try your best to find a way to win na huna option nyingine zaidi ya kuwin.
You just need to win. Even if it’s a small win. Just make sure you WIN.
Tafuta Hela Ya Kula na Kulipa Pango.
Ukiipata Hiyo Ukawa huna Stress ya CHAKULA na MALAZI Unapata Utulivu kwa 75%
Huo Utulivu Sasa Utakusaidia Kuwaza MAWAZO MAKUBWA.
Huwezi kuchakata mawazo makubwa kama HAUNA UTULIVU na Huwezi pata utulivu kama CHAKUNA na KODI Vinakusumbua.
Good morning,
Wake up!
It is MONDAY
4B's of a Good Morning,
+ Benediction 📚
+ Bed 🛏️
+ Body 🏋️♂️
+ Bath 🚿 COLD Shower
It is in your moments of decision that your destiny is shaped.
Fight hard!
#ManDay
Kama kweli Una kiu ya Kujifunza Photography na Video.
Na namna ambavyo unaweza Tengeneza Biashara Through your Passion...
Jiunga nami kupitia Telegram Channel,
kujiunga ni Bure, Humu ndani tupo 1700+
Bofya👇🏾
https://t.co/ZXK86qDQKF