Mwanaume ukirudi hom lazima upige stori za kishujaa, uonekane una mipango na kesho itakua nzuri hiyo ni security ya kumfanya mamalamama akuaminie na abaki na wewe nakubaliana na Chris kwenye main body ila natofautiana nae kwenye conclusion huo sio usanii ni mbinu ya vita