@Ireneigora Hiyo stage unayo pitia ni priminaly kwenye mahisiano they have to be assured kuwa your here to stay but kama they are not sured hawawezi waste time coz some men have tried to build up people in they life then wana potea sasa hana haja yakuanza kurekebisha bila assurance
Ujumbe wa Jumapili kutoka kwa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Kalikawe Bagonza kuhusu kujiandikisha na kupiga kura. Msikilize na mzingatie.